|
|
|
|
|
|
![]() Onyo La Mwisho Kwa Dunia |
![]() Tazama Yuaja |
Bonus |
Sample |
![]() Vita Kuu Baina ya Kristo na Shetani.pdf |
Shetani una uwezo hata kufanya watu watokewe na mifano ya rafiki zao waliokwisha fariki. Mfano huu ni kamili; maneno na sauti huigizwa swasawa. Wengi hufarijiwa kwa kuamini ya kwamba wapenzi wao wamo katika hali ya heri mbinguni, na bila kutambua ya kwamba wamo hatarini kusikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani. |



